Bernardo Alberto Houssay (10 Aprili 188721 Septemba 1971) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Argentina. Baadhi ya uchunguzi mwingine alichunguza uhusiano kati ya homoni na sukari katika kiumbehai cha wanyama. Mwaka wa 1947, pamoja na Carl na Gerty Cori alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Bernardo Houssay
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bernardo Houssay kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.