Binilith Satano Mahenge

Binilith Satano Mahenge (amezaliwa tar. 4 Januari 1962) ni mbunge wa jimbo la Makete katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Binilith Satano Mahenge". 13 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. 

Viungo vya nnje hariri