Blasi (kwa Kiarmenia: Վլասի, Vlasi; kwa Kigiriki Βλάσιος, Vlasios) alikuwa mganga na askofu wa Sebaste katika Armenia ya Kale (leo Sivas, Uturuki).

Mt. Blaise akimkabili gavana wa Kirumi, Soissons (Picardy, France), mwanzoni mwa karne ya 13.

Aliuawa kwa ajili ya imani yake ya Kikristo mwaka 316 katika dhuluma ya kaisari Licinius.

Ndiyo sababu anaheshimiwa na madhehebu mengi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa na Ukristo wa magharibi tarehe 3 Februari[1], kumbe mashariki tarehe 11 Februari.[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.