Bob Junior

mwanamuziki wa Tanzania

Bob Junior (amezaliwa 1986) ni mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania. Ni mmiliki wa studio iitwayo Sharobaro Records. [1][2]

Bob Junior
Amezaliwa Raheem Rummy Nanji
Machi 19 1986 (1986-03-19) (umri 38) Iringa, Tanzania
Jina lingine Sharobaro
Kazi yake Muigizaji, Mtunzi, Mwanamuziki

Ameteuliwa mara mbili kwa Tuzo za Muziki Tanzania, kwa mara ya kwanza aliteuliwa mwaka 2011 kuwa Msanii Bora Anayechipukia, na mwaka 2012 kuwa Msanii Bora wa Kiume. [3][4]

Marejeo hariri

  1. "Bob Junior ‘Sharobaro’". Bongo Cinema. 19 March 1989. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-02-11. Iliwekwa mnamo 7 Juni 2017.  Check date values in: |date= (help)
  2. "Bob Junior | Biography". Bongo Exclusive. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-02-11. Iliwekwa mnamo 11 February 2018.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  3. Abdallah Msuya (Tanzania Daily News) (9 Februari 2011). "2011 Kilimanjaro Music Award Nominees Announced". Afrikhun Pulse. Iliwekwa mnamo 7 Juni 2017. 
  4. "Kili awards 2012 Nominees hawa hapa!". Bongo5. 8 Februari 2012. Iliwekwa mnamo 7 Juni 2017. 
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bob Junior kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.