Bolzano (kwa Kijerumani: Bozen) ni makao makuu wa wilaya ya kujitegemea katika mkoa wa Trentino-Alto Adige ambao ni wa kaskazini kuliko yote ya Italia.

Muonekano wa Bolzano

Mji una wakazi 106,441 (2016) na hivyo ni wa 42 nchini Italia.

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bolzano kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.