Bradley Cooper (alizaliwa mnamo 5 Januari 1975) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani.

Bradley Cooper

Bradley Cooper, mnamo 2017.
Amezaliwa Bradley Charles Cooper
5 Januari 1975 (1975-01-05) (umri 49)
Philadelphia, Marekani.
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1999–hadi sasa
Ndoa Jennifer Esposito
(2006-2007)
Irina Shayk
(2015–2019)
Watoto 1


Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bradley Cooper kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.