Braga (kifupisho cha jina la Kilatini Bracara Augusta) ni mji wa Ureno kaskazini-magharibi. Una wakazi 137,000.[1] Hivyo ni wa saba kati ya miji ya Ureno. Eneo lake ni la km² 183.40&nbsp.[2]

Sehemu ya Bom Jesus katika Mji wa Braga mnamo mwaka 2017

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ureno bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Braga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.