Broad Peak ni mlima wenye kimo cha m 8,051 juu ya usawa wa bahari.

Mlima Broad Peak, upande wa Pakistan

Ni sehemu ya safu ya milima ya Karakoram. Uko kati ya Pakistan na China.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Broad Peak kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.