Buguruni ni kata ya wilaya ya Ilala katika [[mkoa]wa Dar es Salaam]], Tanzania, yenye postikodi namba 12102.

Kata ya Buguruni
Kata ya Buguruni is located in Tanzania
Kata ya Buguruni
Kata ya Buguruni

Mahali pa Buguruni katika Tanzania

Majiranukta: 6°49′26″S 39°14′56″E / 6.82389°S 39.24889°E / -6.82389; 39.24889
Nchi Tanzania
Mkoa Dar es Salaam
Wilaya Ilala
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 47,278
Muonekano wa eneo la biashara huko Buguruni wakati wa mchana.
Muonekano wa Daraja la juu la watembea kwa miguu Buguruni.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 47,278 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 67,028 waishio humo.[2]

Maendeleo ya Buguruni hariri

Buguruni ni kata yenye maendeleo. Baadhi ya maendeleo yaliyomo ndani ya kata ya Buguruni ni:

Shule ya Buguruni [3]

Soko la Buguruni

Hospitali ya Buguruni

• Kituo cha Polisi cha Buguruni

• Njia za usafiri

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania  

Bonyokwa | Buguruni | Buyuni | Chanika | Gerezani | Gongolamboto | Ilala | Jangwani | Kariakoo | Kimanga | Kinyerezi | Kipawa | Kipunguni | Kisukuru | Kisutu | Kitunda | Kivukoni | Kivule | Kiwalani | Liwiti | Majohe | Mchafukoge | Mchikichini | Minazi Mirefu | Mnyamani | Msongola | Mzinga | Pugu | Pugu Station | Segerea | Tabata | Ukonga | Upanga Magharibi | Upanga Mashariki | Vingunguti | Zingiziwa