Burudani

jamii ya Wikimedia

Burudani (kutoka neno la Kiarabu linalohusiana na "baridi") ni chochote kile kinachoweza kukuburudisha, hasa bada ya kazi nzito iliyokuchosha.

Mtoto akicheza muziki kwa mtindo wa Kiduku, nchini Tanzania

Ni muhimu kujifunza utumiaji bora wa muda katika kukamilisha mafanikio yako.[1][2]

Tanbihi hariri

  1. Kelly, John (1996). Leisure, 3rd edition. Boston and London: Allyn and Bacon. ku. 17–27. ISBN 0-13-110561-2. 
  2. Neulinger, John (1981). To Leisure: An Introduction. Ann Arbor, MI: Allyn and Bacon. ku. 10–26. ISBN 0-20-506936-3. 
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Burudani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.