Bweleo ni kata ya Wilaya ya Unguja Magharibi B katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Tanzania.

Kata ya Bweleo
Nchi Tanzania
Mkoa Mjini Magharibi Unguja
Wilaya Unguja Magharibi B
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 842

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 842 waishio humo. [1]

Asili ya jina Bweleo ni neno "Jibwe leo" likimaanisha Jiwe leo. Hii ilitokea baada ya watu wengi kuibeza ardhi ya kijiji hicho kwa kuwa ni ya mawe haswaa. Haikuwa na thamani kwa wakati huo na ndiyo sababu mhenga mmoja akasema, "Jibwe leo tu" akimaanisha ipo siku hamtazungumzia tena kuhusu ardhi ya jiwe ya Bweleo ila mtaitafuta.

Marejeo hariri

  1. Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002 (en). Serikali ya Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2003-12-28.
  Kata za Wilaya ya Unguja Magharibi B - Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja - Tanzania  

Bweleo | Chukwani | Chunga | Dimani | Fumba | Fuoni Kipungani | Fuoni Migombani | Jitimai | Kibondeni | Kiembesamaki | Kijitoupele | Kinuni | Kisauni | Kombeni | Kwa Mchina | Magogoni | Mambosasa | Maungani | Mbweni | Melinne | Michungwani | Mikarafuuni | Mnarani | Mombasa | Muembe Majogoo | Mwanakwerekwe | Nyamanzi | Pangawe | Shakani | Sokoni | Taveta | Tomondo | Uwandani | Uzi


  Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bweleo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.