Captain America ni mhusika katika kampuni ya utengenezaji katuni ya Marvel comics.

HII ni ngao yake
HII ni ngao yake

Aliyeigiza filamu ya Captain America anaitwa Chris Evans. Mhusika huyu ameigiza katika filamu mbalimbali kama vile Captain America The First Avenger, Captain America Civil War, Captain America the winter soldier n.k.

Mwigizaji huyu alipata umaarufu baada ya kuigiza filamu ya Captain America Civil War na Avengers. Mwigizaji huyu katika filamu zake anaonekana kama shujaa kwa sababu ya kusaidia watu.