Carlo Rota (amezaliwa tar. 17 Aprili 1961) ni mzaliwa wa Uingereza-mwigizaji filamu na tamthilia wa Kikanada. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama Morris O'Brian kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24.

Carlo Rota

Amezaliwa 17 Aprili 1961 (1961-04-17) (umri 63)
London, Uingereza
Kazi yake Mwigizaji

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carlo Rota kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.