Carol Ann Shields (2 Juni 193516 Julai 2003) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1995, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Stone Diaries.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carol Shields kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.