Catania ni mji wa Italia katika mkoa wa Sisilia. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 300,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 7 juu ya usawa wa bahari.

Mji wa Catania


Catania
Majiranukta: 37°30′00″N 15°5′25″E / 37.50000°N 15.09028°E / 37.50000; 15.09028
Nchi Italia
Mkoa Sisilia
Wilaya Catania
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 293,303
Tovuti:  www.comune.catania.it

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Catania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.