Châlons-en-Champagne

Châlons-en-Champagne ndiyo mji mkuu katika mkoa la Champagne-Ardenne. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 50,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 79-153 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Sehemu ya mji wa Châlons-en-Champagne


Châlons-en-Champagne
Châlons-en-Champagne is located in Ufaransa
Châlons-en-Champagne
Châlons-en-Champagne

Mahali pa mji wa Châlons-en-Champagne katika Ufaransa

Majiranukta: 48°57′27″N 4°21′54″E / 48.95750°N 4.36500°E / 48.95750; 4.36500
Nchi Ufaransa
Mkoa Champagne-Ardenne
Wilaya Marne
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 46,184
Tovuti:  www.chalons-en-champagne.net

Historia hariri

Jiografia hariri

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons


  Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Châlons-en-Champagne kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.