Charles Gordone (12 Oktoba 192516 Novemba 1995) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Charles Edward Fleming. Mwaka wa 1970, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake No Place to be Somebody.

Faili:Charles Gordone.gif
Charles Gordone
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Gordone kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.