Charles Howard McIlwain

Charles Howard McIlwain (15 Machi 18711 Juni 1968) alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1924, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake The American Revolution: A Constitutional Interpretation.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Howard McIlwain kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.