Charles Ndiliana Ruwa Keenja

Charles Ndiliana Ruwa Keenja (amezaliwa tar. 24 Desemba 1940) ni mbunge wa jimbo la Ubungo katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Charles Ndiliana Ruwa Keenja". 13 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.