Charles Robert Richet (25 Agosti 18504 Novemba 1935) alikuwa daktari na mwanafiziolojia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza vimiminiko vya mwili kama damu, jasho na kadhalika. Mwaka wa 1913 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Charles Richet

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Richet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.