Charles Warren (mwandishi)

Charles Warren (186816 Agosti 1954) alikuwa mwanasheria na mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1923, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake The Supreme Court in United States History.

Dirisha la Kanisa Kuu, Washington D.C., lililowekewa wakfu Charles Warren
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Warren (mwandishi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.