Richard Anthony "Cheech" Marin (amezaliwa tar. 13 Julai 1946) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani.

Cheech Marin

Cheech Marin, mnamo 2022.
Amezaliwa Richard Anthony Marin
13 Julai 1946 (1946-07-13) (umri 77)
Los Angeles, California, Marekani
Kazi yake Mchekeshaji
Miaka ya kazi 1971-hadi leo
Ndoa Darlene Morley (1975-1984)
Patti Heid (1986-2009)
Natasha Rubin (2009)
Watoto 3

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cheech Marin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.