Chipata (awali: Fort Jameson) ni mji wa Zambia katika Mkoa wa Mashariki.

Soko la Chipata kaskazini
Soko la Chipata kaskazini

Mwaka 2010 ulikuwa na wakazi 455,783 [1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chipata kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.