Christian Anfinsen

Christian Boehmer Anfinsen (26 Machi 191614 Mei 1995) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza uhusiano kati ya mfumo wa protini na athari zake mwilini. Mwaka wa 1972, pamoja na Stanford Moore na William Stein alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Christian Anfinsen


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christian Anfinsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.