Christophe Jallet

Mchezaji mpira wa Ufaransa

Christophe Jallet (alizaliwa 31 Oktoba 1983) ni mchezaji wa soka wa ufaransa ambaye anacheza kama beki wa kushoto wa klabu ya Nice na timu ya taifa ya Ufaransa.

Christophe Jallet
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaUfaransa Hariri
Nchi anayoitumikiaUfaransa Hariri
Jina katika lugha mamaChristophe Jallet Hariri
Jina la kuzaliwaChristophe Jean-Pierre Jallet Hariri
Jina halisiChristophe Hariri
Jina la familiaJallet Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa31 Oktoba 1983 Hariri
Mahali alipozaliwaCognac Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKifaransa Hariri
Kaziassociation football player, color commentator Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timufullback Hariri
Muda wa kazi2003 Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri

Lyon hariri

Mnamo 24 Julai 2014 jallet alijiunga na klabu ya lyon ambayo ilimaliza msimu kama mshindi wa tatu.

Nice hariri

Mnamo 18 Julai mwaka 2017, Jallet alijiunga na klabu ya Nice.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christophe Jallet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.