Wilaya ya Chunya ni wilaya mojawapo kati ya 7 za Mkoa wa Mbeya.

Mahali pa Chunya (kijani cheusi) katika mkoa wa Mbeya.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 206,615 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 344,471 [2].

Marejeo hariri

  1. Tanzania.go.tz/census. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-03-18. Iliwekwa mnamo 2004-03-18.
  2. https://www.nbs.go.tz
  Kata za Wilaya ya Chunya - Tanzania  

Bwawani | Chalangwa | Chokaa | Ifumbo | Itewe | Kambikatoto | Kasanga | Lupa | Lualaje | Mafyeko | Makongolosi | Mamba | Matundasi | Matwiga | Mbugani | Mkola | Mtanila | Nkung'ungu | Sangambi | Upendo


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chunya (wilaya) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.