Clemence Beatus Lyamba

Clemence Beatus Lyamba (amezaliwa tar. 16 Februari 1946) ni mbunge wa jimbo la Mikumi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Clemence Beatus Lyamba". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 2011-11-03.  Unknown parameter |= ignored (help)

Viungo vya nnje hariri