Clifford Shull (23 Septemba 1915 - 31 Machi 2001) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza sehemu za atomu. Mwaka wa 1994, pamoja na Bertram Brockhouse alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Clifford Shull, kulia
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Clifford Shull kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.