Corrado Lorefice (amezaliwa Ispica nchini Sicilia, Italia, tarehe 12 Oktoba 1962) ni askofu wa Kanisa Katoliki nchini Italia.

Alipata upadrisho tarehe 30 Disemba 1987.

Tarehe 27 Oktoba 2015 ametangazwa kuwa askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Palermo.[1]; [2]

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.