Damu baridi ni damu ya baadhi ya viumbe hai, hususan samaki, reptilia na amfibia.

Jina linatokana na sifa ya damu hiyo kufuata halijoto ya mazingira.

Ni tofauti na damu moto ya mamalia na ndege ambayo inabaki na kiwango fulani cha joto hata katika mabadiliko ya halijoto.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Damu baridi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.