Danieli wa Mnarani

Danieli wa Mnarani (Maratha, leo nchini Uturuki, 409 hivi - Adrianopoli, 493) alikuwa mmonaki ambaye alipata umaarufu kwa kuishi miaka 33 juu ya mnara karibu na Konstantinopoli[1].

Mchoro wa ukutani wa Mt. Danieli.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Desemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.