David Luiz (amezaliwa 22 Aprili 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Brazil. Anachezea klabu ya Uingereza ya Arsenal F.C.

David Luiz akiichezea Chelsea mwaka 2011
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Luiz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.