Davide Zappacosta (alizaliwa tarehe 11 Juni 1992) ni mchezaji anayecheza katika klabu iliyopo nchini Uingereza iitwayo Chelsea F.C. akitokea nchini Italia.

Davide Zappacosta
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Davide Zappacosta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.