Dawit III (alifariki 18 Mei 1721) alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia 8 Februari 1716 hadi kifo chake. Alimfuata Yostos. Jina lake la kutawala lilikuwa Adbar Sagad. Chini ya utawala wake sinodi ya kanisa ilifanyika. Punde baada ya sinodi alifariki bila sababu kujulikana. Aliyemfuata kama mfalme ni Bakaffa.

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Uhabeshi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dawit III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.