Derek Walcott (amezaliwa 23 Januari 1930) ni mwandishi na mshairi kutoka kisiwa cha Saint Lucia. Mwaka wa 1992 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Derek Walcott
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Derek Walcott kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.