Distrito Federal (Brazil)

Distrito Federal (Kireno: Wilaya ya Shirikisho) ni jimbo na eneo la mji mkuu wa Brazil. Ni enclave ndani ya jimbo la Goiás, na sehemu ndogo katika Minas Gerais. Lina wakazi 2,333,108. Mji mkuu wake ni Brasilia.

Distrito Federal
Bendera ya Distrito Federal

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Distrito Federal (Brazil) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.