Domeni (kutoka Kiingereza: Domain) ni ngazi inayotumika katika biolojia kuainisha viumbehai wote katika makundi. Kila domeni imegawanyika katika himaya kadhaa.

Ngazi za uainishaji katika biolojia; ngazi ndogo za kati hazionyeshwi.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Domeni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.