Donika Grajqevci (alizaliwa 14 Novemba 2002) ni mchezaji wa soka wa nchini Kosovo na ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya wanawake ya FC Carl Zeiss Jena kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga na timu ya taifa ya Kosovo.[1]

Donika Grajqevci

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Donika Grajqevci kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.