Edfu

Jiji la Misri, lililopo magharibi mwa ukanda wa mto Nile

Edfu (Misri ya Kale: bḥdt, Kiarabu: إدفو hutamkwa [ˈʔedfu], Kikoptiki: Ⲧⲃⲱ vars. Ⲁⲧⲃⲱ, Ⲧⲃⲟ (Sahidic); Ⲑⲃⲱ); ukingo wa magharibi wa Mto Nile kati ya Esna na Aswan, wenye wakazi takriban elfu sitini. Edfu ni eneo la Hekalu la Ptolemaic la Horus na makazi ya kale, Tell Edfu. Takriban kilomita 5 (3.1 mi) kusini mwa Edfu ni mabaki ya piramidi za kale.[1]

Sehemu ya mbele ya hekalu, Inayotizamia Kusini-Mashariki
Sehemu ya mbele ya hekalu, Inayotizamia Kusini-Mashariki

Picha hariri

Marejeo hariri

  1. "History of PCMA research in Egypt". pcma.uw.edu.pl. Iliwekwa mnamo 2020-07-07.