Edgar Douglas Adrian (30 Novemba 18894 Agosti 1977) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza vyembe vya neva na nguvu za umeme katika ubongo. Mwaka wa 1932, pamoja na Charles Scott Sherrington alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Edgar Adrian
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edgar Adrian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.