Edna St. Vincent Millay

Edna St. Vincent Millay (22 Februari 189219 Oktoba 1950) alikuwa mwandishi wa tamthiliya na mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Aliandika tamthiliya yake chini ya jina la Nancy Boyd. Mwaka wa 1923 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Edna St. Vincent Millay, 1933
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edna St. Vincent Millay kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.