Edwin O'Connor (29 Julai 191823 Machi 1968) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1962, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Edge of Sadness.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edwin O'Connor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.