Egwale Seyon (alifariki 3 Juni 1821) alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia Juni 1801 hadi kifo chake. Alikuwa mwana wa Hezqeyas. Alimfuata Demetros. Utawala wake ulisumbuliwa sana na vita miongoni mwa wana wafalme. Aliyemfuata ni Iyoas II.

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Uhabeshi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Egwale Seyon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.