Elâzığ (Kikurdi: Elezîz) ni mji uliopo Mashariki ya Anatolia, nchini Uturuki na ndiyo kitako cha Jimbo la Elâzığ. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2002, idadi ya wakazi wa huko ilifikia 266,495.

Mahala penye rangi nyekundu ndipo pa Elazığ.

Jina hariri

Historia hariri

Uchumi hariri

Jiografia na hali ya hewa hariri

Picha za mjini hapa hariri

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Elazığ kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.