Eli Herschel Wallach (amezaliwa tar.7 Desemba 1915) ni muigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani, Pia muigizaji wa vipindi vya kwenye Televisheni. Eli pia alicheza kama nyota mshiriki katika mfululizo wa filamu ya The Man With no Name (The Good, the Bad and the Ugly) Alicheza kama Tuco, Mbali na hiyo bado kacheza filamu nyingi tu za western.

Eli Wallach, mnamo 1966.

Maisha ya Mwanzo hariri

Maisha Binafsi hariri

 
Eli akimuweka chini ya ulinzi Clint katika filamu ya The good, the bad and the Ugly.

Filamu Alizocheza hariri

Ona Pia hariri

Marejeo hariri

  1. http://www.forward.com/articles/eli-wallach-knows-his-lines/ Archived 16 Oktoba 2007 at the Wayback Machine.
  2. http://www.filmreference.com/film/80/Eli-Wallach.html

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eli Wallach kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.