Elias John Kwandikwa
Elias John Kwandikwa alikuwa mwanasiasa Mtanzania, mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Ushetu kwa miaka 2015 – 2020 [1] akarudishwa mwaka 2020 na kuteuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi[2].
Alifariki dunia akiwa Dar es Salaam, katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili, tarehe 2 Agosti 2021. [3][4]
Marejeo hariri
- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
- ↑ Magufuli’s unveils his cabinet 30 days after taking oath (en). Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-01-11. Iliwekwa mnamo 2021-01-01.
- ↑ https://www.malunde.com/2021/08/Kwandikwa.html
- ↑ https://peoplepill.com/people/elias-kwandikwa/
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |