Eliza Patricia Dushku (amezaliwa tar. 30 Desemba 1980) ni mwigizaji wa tamthilia za TV na filamu kutoka nchini Marekani. Ameonekana katika filamu nyingi tu za Hollywood, filamu hizo ni True Lies, The New Guy, Bring It On, na Wrong Turn.

Eliza Dushku

Eliza kwenye Tribeca Film Festival mnamo 2012
Amezaliwa Eliza Patricia Dushku
30 Desemba 1980 (1980-12-30) (umri 43)
Massachusetts
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1992–hadi leo
Ndoa Rick Fox (2009-hadi leo)

Vilevile ni anafahamika zaidi kwa kushiriki katika mfululizo wa vipindi vya televisheni, Buffy the Vampire Slayer na Angel as Faith. Pia alikuwa mwusika mkuu katika katika mfululizo wa kipindi cha tevisheni, maarufu kama Tru Calling.

Wasifu hariri

Maisha ya awali hariri

Dushku alizaliwa mjini Watertown, Massachusetts. Baba wa Dushku alikuwa Mwalbania-Mwamerika na mamake alikuwa Mdenmark asilia. Alikulia katika dhehebu la Mormon, ambalo mamake ndilo alilokuwa anaamini, lakini yeye hakujiweka karibu sana na dhehebu hilo. Ana ndugu watatu wa kiume, Aaron, Benjamin (amezaliwa 5 Februari 1976), na Nathan (amezaliwa 8 Juni 1977, mjini Boston, Massachusetts), wa mwisho wake nae vilevile mwigizaji na mwanamitindo. Wazazi wake na Dushku walitarikiana tangu Dushku akiwa yungali bado mchanga.

Maisha binafsi hariri

Dushku kwa sasa anaishi mjini Los Angeles, California.

Filamu alizoigiza hariri

  • That Night (1992) - Alice Bloom
  • This Boy's Life (1993) - Pearl
  • Fishing With George (1994)
  • True Lies (1994) - Dana Tasker
  • Bye Bye Love (1995) - Emma Carlson
  • Journey (1995, TV) - Cat
  • Race the Sun (1996) - Cindy Johnson
  • Bring It On (2000) - Missy Pantone
  • Jay and Silent Bob Strike Back (2001) - Sissy
  • Soul Survivors (2001) - Annabel
  • The New Guy (2002) - Danielle
  • City by the Sea (2002) - Gina
  • Wrong Turn (2003) - Jessie Burlingame
  • Punk'd (2003) - Herself
  • The Kiss (2003) - Megan
  • The Last Supper (2006) - Waitress
  • Yakuza (2006, Video Game) - Yumi Sawamura (voice)
  • On Broadway (2007) - Lena Wilson
  • Nobel Son (2007) - Sharon "City" Hall
  • Open Graves (2007) - Erica
  • The Alphabet Killer (2007) - Megan Paige
  • Bottle Shock (2008)
  • Sex and Breakfast (2008) - Renee

Vipindi vya televisheni hariri

  • Buffy the Vampire Slayer (1998-1999, 2000, 2003 recurring) - Faith Lehane (sinema 20)
  • Angel (2000, 2003 guest appearances) - Faith Lehane (sinema 6)
  • King of the Hill (2002) - Jordan (voice) in episode 'Get Your Freak Off'
  • Tru Calling (2003-2005) - Tru Davies (sinema 27 )
  • Reading Rainbow (2005 guest appearance) - Mwandishi wa sinema 'Unique Monique'
  • That '70s Show (2005 guest appearance) - Sarah
  • Nurses (2007) - Eve Morrow (Pilot)
  • Ugly Betty (2007 mgeni mwalikwa) - halijulikani
  • Dollhouse (2008) - Echo

Marejeo hariri

  1. http://www.truefan-eliza.com/judy.html Archived 18 Februari 2008 at the Wayback Machine.
  2. http://www.maximonline.com/articles/index.aspx?a_id=4046&src=fc Archived 30 Septemba 2007 at the Wayback Machine.
  3. http://movies.about.com/library/weekly/aa050202b.htm Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
  4. http://moviesblog.mtv.com/2007/05/15/eliza-dushku-joins-the-force-for-alphabet-killer/
  5. http://www.eonline.com/gossip/kristin/detail/index.jsp?uuid=972f7d73-e0a2-43ea-abad-0abf6afba1f3

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: