Elizabeti wa Urusi

Elizabeti wa Urusi (kwa Kirusi Елизавета Фёдоровна Романова, Elizabeth Feodorovna Romanova; 1 Novemba 1864 – 18 Julai 1918) alikuwa mwanamke wa ukoo tawala wa jimbo mojawapo la Ujerumani aliyeolewa na mtoto wa tano wa kaisari Alexander II wa Russia.

Picha halisi ya Mt. Elizabeti wa Urusi.

Baada ya mumewe kuuawa kwa bomu mwaka 1905, Elisabeti alimsamehe muuaji, Ivan Kalyayev, na kujitahidi asiadhibiwe.

Kisha kuhama ikulu, akawa mmonaki akaanzisha konventi ya Marfo-Mariinsky ili kusaidia pia maskini wa Moscow.

Mwaka 1918 alikamatwa na kuuawa na Wakomunisti.

Elizabeti alitagazwa na Waorthodoksi kuwa mtakatifu mwaka 1981 na mwaka 1992.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Julai.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Paleologue, Maurice. An Ambassador's Memoirs, 1922
  • Grand Duchess Marie of Russia. Education of a Princess, 1931
  • Queen Marie of Romania. The Story of My Life, 1934
  • Almedingen, E.M. An Unbroken Unity, 1964
  • Duff, David. Hessian Tapestry, 1967
  • Millar, Lubov, Grand Duchess Elizabeth of Russia, US edition, Redding, California., 1991, ISBN 1-879066-01-7
  • Mager, Hugo. Elizabeth, Grand Duchess of Russia, 1998, ISBN 0-7867-0509-4
  • Zeepvat, Charlotte. Romanov Autumn, 2000, ISBN 5-8276-0034-2
  • Belyakova, Zoia. The Romanovs: the Way It Was, 2000, ISBN 5-8276-0034-2
  • Warwick, Christopher Ella: Princess, Saint and Martyr, 2007, ISBN 047087063X
  • Croft, Christina Most Beautiful Princess — A Novel Based on the Life of Grand Duchess Elizabeth of Russia, 2008, ISBN 0-9559853-0-7

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Vyanzo vya Kiorthodoksi hariri

Tenzi kwa heshima yake hariri

Vyanzo visivyo vya kidini hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.