Engelbert wa Cologne

Engelbert wa Cologne (pia: Engelbert II of Berg; Schloss Burg, 1185/1186Gevelsberg, karibu na Schwelm, 7 Novemba 1225) alikuwa askofu mkuu wa Cologne, Ujerumani, ambaye alijihusisha sana na mambo ya siasa akiwa pia mtawala wa sehemu ya nchi.

Sanamu yenye masalia ya Mt. Engelbert.

Kisha kutetea haki kwa nguvu zote, hatimaye aliuawa na ndugu yake wa ukoo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

      . https://books.google.com/books?id=ego8AQAAIAAJ. Retrieved 2014-10-09.

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.