Erkonvaldi (kwa Kiingereza: Earconwald, Ercenwald, Erkenwald; Lindsey[1], karne ya 7 - monasteri ya Barking, 30 Aprili 693) alikuwa askofu wa London, Uingereza, kuanzia mwaka 675[2] akawa mwanzilishi wa monasteri mbili za Kibenedikto[3][1][4]. Ile ya kike iliongozwa na dada yake, Etelburga, ila ya kiume iliongozwa naye mwenyewe[5].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa na Wakatoliki na Waanglikana tarehe ya kifo chake[6].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. 1.0 1.1 (Kiingereza) Walsh A New Dictionary of Saints p. 182
  2. (Kiingereza) Fryde, et al. Handbook of British Chronology p. 219
  3. (Kiingereza) D.P. Kirby, Earliest English Kings p. 83
  4. (Kiingereza) Barbara Yorke, "Adaptation of the Anglo-Saxon Royal Courts" Cross Goes North pp. 250–251
  5. http://www.santiebeati.it/dettaglio/93365
  6. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

      .
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.